Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika Mozambique Fashion Week yatakayoanza desemba 10 mpaka 14 ambapo atakuwa akipeperusha bendera ya taifa |
Mwanamitindo Matukio Chuma kulia
akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa kutangaza upeperushwaji
wa bendera ya tanzania katika nchi ya mozambique fashion week ambayo
mbunifu wa mavazi Manju Msita atashiriki na kupeperurusha bendera ya
Tanzania kushoto ni mwanamitindo Vivian Williams ambaye anafanya
shughuli zake za uwanamitindo nchini Barcelona .Spain
Mwanamitindo anaefanya shughuli zake
nchini Barcelona Spein Vivian Williams kushoto akizungumza na waandishi
wa habari juu ya ujio wake nchini kwa ajili ya kushiriki maonesho ya
SwaHILI fASHION WEEK yatakayoanza ijumaa ya Desemba 5 mpaka 7 kulia ni
Mwanamitindo Matukio Chuma
Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita katikati akiwa na wanamitindo anaefanya shughuli zake nchini Barcelona Spein Vivian Williams na Ieva Stropule anaeishi ujerumani
No comments:
Post a Comment