Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini
Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo
leo.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis
Mwamunyange.
Vikosi
vya Ulinzi na Usalama vikitoa salamu ya heshma wakati Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika
Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo katika sherehe za kilele cha
maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika sherehe za
kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika sherehe za
kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Makamo wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika
Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.Katikati
ni Waziri Mkuu,Mizengo Pinda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na
Viongozi wa Kitaifa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika
kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais
wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein katika Kilele cha Maadhimisho ya
sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika
uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mama Salma Kikwete akisalimiana na
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi katika Kilele
cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Mabalozi
wa Nchi mbali mbali wanaoziwakilisha Nchi zao hapa nchini pamoja na
Wananchi wakiwa katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru ambapo mgeni
rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete.
Baadhi
ya wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya Jiji la Dar es Salaam na Mikoa
jirani wakiwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dare Salaam katika sherehe
za kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara ambazo
hufanyika kila mwaka
No comments:
Post a Comment