December 18, 2014

KIKWETE ATUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA WA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Dkt.Mohamed Gharib Bilal akimtunuku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Digrii ya uzamivu ya Heshima (PHD Honoris Causa) wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho iiyofanyika katika chuo hicho mjini Arusha leo.

No comments:

Post a Comment