December 31, 2014

HII NDO DASLAM

Kariakoo ni moja ya sehemu zilizo na maduka mengi na eneo lenye pilika pilika za kila namna za kibiashara, hapana shaka kuwa eneo hilo linawalipa kodi wengi kuliko eneo lolote la jiji la Dar es Salaam lakini bado baadhi ya mitaa yake imesahaulika kwa kuboreshewa miundombinu yake licha ya kodi wanazolipa kama huu mtaa wa Amani ambao umeharibika vibaya katika makutano yake na Mtaa wa Msimbazi.

No comments:

Post a Comment