Gari
dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG,
likiteketea kwa moto eneo la Makumbusho Usalama kama lilivyonaswa na
kamera ya Sufianimafoto jana jioni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza
kufahamika mapema.
Gari hilo likiendelea kuteketea......
Kama kawaida ya wabongo wasiokuwa wanahabari rasmi wakinasa matukio ili kusambaza katika mitandao. PICHA ZAIDI BOFYA MAFOTO BLOG
No comments:
Post a Comment