KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
November 29, 2014
RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI SALAMA
Rais
Kikwete akizungumza na Wanahabari kwenye ukumbi maalum wa
mikutano,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiini Dar,mara
tu baada ya kuwasili jiioni hii akitokea nchini Marekani kwa matibabu.
No comments:
Post a Comment