September 05, 2014

TAMASHA LA FIESTA MUSOMA LAAHIRISHWA KUFUATIA MSIBA MZITO ULIOIKUMBA MUSOMA

Tamasha la Fiesta lililokua lifanyike leo hapa Musoma limeahirishwa kutokana na ajali kubwa ya magari matatu yakiwemo Mabasi mawili yaliyogongana uso kwa uso na gari jingine dogo kutumbukia mtoni eneo la Sabasaba ambapo taarifa zisizo rasmi ni zaidi ya 50 waliopoteza maisha, Wasanii pamoja na wadau wengine wanaungana muda mfupi ujao kwenda hospitali na kutoa chochote kwa hawa ndugu zetu waliofiwa na waliojeruhiwa.

No comments:

Post a Comment