September 04, 2014

KUTOKA JUKWAANI: HANS POPE WA SIMBA NA UTANI WAKE

Huu yu ni Mwenyekiti wa Kamati ya  Usajili wa Klabu ya Simba, Zakaria Hans Pope akifanya mzaha na mashabiki wakati akishuhudia mchezo wa kirafiki wa watani wao Yanga dhidi ya Thika United kutoka Kenya Septemba 3 2014 uwanja wa taifa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment