KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
September 09, 2014
JK AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Balozi mpya wa
Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment