September 02, 2014

FACAO SASA KUSAIDIA UKARABATI WA MANCHESTER UNITED BAADA YA KUSAINI MKATABA

Radamel Falcao akiwa ameshikilia uzi wa timu yake mpya ya Manchester United muda mfupi baada ya kukamilisha taratibu za usajili wake ambapo amesaini mkataba wa kuichezea timu hiyo kwa mkopo.

No comments:

Post a Comment