August 12, 2014

TUJIKUMBUSHE MIAKA ILIYOPITA BOYS II MEN (JK na EDO)

1995. Rais Jakaya Mrisho Kikwete enzi hizo akitangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania na hatimaye ikawa akiwa katika picha ya pamoja na swahiba yake mkubwa, na aliyepata kuwa Waziri Mkuu Edward Ngoyae Lowassa.

No comments:

Post a Comment