August 20, 2014

RATIBA YA LIGI KUU YA SOKA TANZANIA BARA- YANGA VS SIMBA KUKIPIGA RAUNDI YA NNE

Ratiba hiyo imezingatia michuano ya Chalenji itakayochezwa Novemba, usajili wa dirisha dogo Nov 15- Des 15, ushiriki wa klabu za Azam na Yanga kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa (CL) na Kombe la Shirikisho (CC), mechi zitachezwa wikiendi ili kuongeza msisimko/kuwapa fursa washabiki wengi zaidi kuhudhuria, katikati ya wiki imeachwa wazi kwa ajili ya mechi za Kombe la FA (Federation Cup). Vilevile kutakuwa na mechi Boxing Day na siku ya Mwaka Mpya.

No comments:

Post a Comment