August 04, 2014

PASS NDANI YA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA LINDI

 Kikosi kazi cha PASS kikiwa kamili kusubiri wananchi na wadau mbalimbali wa Kilimo kutembelea banda lao lililopo katiuika viwanja vya Maonesho ya Wakulima yanayoendelea Kitaifa katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. PASS hutoa huduma mbalimbali ikiwepo dhamana ya mikopo ya kilimo na ufugaji katika taasisi za fedha nchini.

No comments:

Post a Comment