August 30, 2014

MAN U YALAZIMISHWA SARE NA BURNLEY

Kiungo mpya wa tumu Manchester United ya Uingereza  Muargentina Angel di Maria (juu) akiwania mpira dhidi kiungo wa timu ya Burnley , Dean Marney wakati wa mechi Ligi ya Uingereza iliyopigwa leo katika uwanja wa Turf Moor uliopo Kaskazini-Magharibi mwa Uingerez. Man U ililazishwa sare ya 0-0 na timu hiyo. 

No comments:

Post a Comment