August 25, 2014

HAPPY BIRTHDAY JOYCE TENDEWA a.k.a MAMA ROCKLIN

Mama na Mwana wakiwa wamevalia sare wakila pozi la picha juzi wakati Joyce Tendewa a.k.a Mama Rocklin alipokuwa akifurahia siku yake ya kuzaliwa huko nyumbani kwake Mjini Tanga.
Mtoto Rocklin Reuben akila poz la picha baada ya kumwish mama yake Happy Birthday na shukrani ya kumvalisha sare sare na yeye.

No comments:

Post a Comment