August 27, 2014

DC NEWALA AHAMASISHA WANANCHI KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO.

 Mkuu wa Wilaya ya Newala, Christopher Magala akizungumza katika mkutano wa hadhara Kijiji cha Chihangu wilayani humo katika kuhamasisha shughuli za maendeleo.
 Afisa Mipango wa Halmashauri ya Newala, Sophia Makungu, akiwahamasisha wananchi wa Chihangu kushiriki katika shughuli za maendeleo
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya pamoja na timu yake.

No comments:

Post a Comment