July 21, 2014

TANGAZO LA MSIBA WA MTOTO EVERLYNE MICHAEL MACHELLAH

NDUGU, Michael Machellah anasikitika kutangaza kifo cha Binti yake, Everlyne Michael Machellah (1)kilichotokea jana Julai 2014 katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Marehemu Alikuwa akisumbuliwa na Malaria pamoja na kuharisha.Mazishi tunatarajia kuyafanya kesho muda na wapi nitawajulisha.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe milele Amina.

No comments:

Post a Comment