KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 22, 2014
NANE MBARONI KWA TUHUMA ZA UTUPAJI VIUNGO VYA BINADAMU MBWENI
Chuo cha IMTU lango kuu linavyoonekana ambapo uchunguzi wa awali umeonesha kuhusika na tukio hilo la kutupa viungo hivyo vilivyokuwa vikitumika katika mafunzo ya kitabibu.
No comments:
Post a Comment