February 04, 2014

WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI LAGER

 Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Winda na Shinda safari ya Brazil na Serengeti ambapo washindi watakwenda nchini humo kushuhudia matukio mbalimbali pamoja na vivutio vya utalii. Katikai ni Meneja Masoko wa SBL, Allan chonjo na mmoja wa washindi wa promosheni hiyo, Tom Mbaraka.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) , Allan Chonjo akizungungumza kuhusiana na promotion hiyo na katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Ephraim Mafuru
 Mabalozi wa SBL wakiwa kazini.
Burudani ikitolewa na mabalozi wa SBL kunadi promotion hiyo.

No comments:

Post a Comment