February 20, 2014

TPB YACHANGIA KODI LA PANGO OFISI YA WATU WASIO SIKIA

Afisa Mawasiliano Msaidizi wa Benki ya Posta Tanzania,  Chichi Banda akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi laki sita (600,000/=) kwa Chama cha watu wasio sikia, Charles Nchimbi huku Katibu wa taasisi hiyo, Kelvin Nyema akishuhudia katikati. Makabidhiano hayo yalifanyika juzi jijini Dar resambapo fedha hizo zitasaidia kulipa kodi ya pango la ofisi ya chama hicho.


No comments:

Post a Comment