KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
February 18, 2014
PANDU AMIR KIFICHO ACHAGULIWA MWENYEKITI WA MUDA BUNGE LA KATIBA
Spika wa Bunge la Zanzibar, na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho amechaguliowa kwa kura zaidi ya 300 kushika nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba jioni hii.
JAMANI NIJULISHENI WANASIASA WANASITAAFU WAKIWA NA UMRI GANI?
ReplyDelete