February 17, 2014

MDAU ABDILAHI O.JUMA AOMBA MAOMBI YENU

Salam kwa Bloggers wenzangu kokote mliko
         Napenda kuchukua fursa hii kuwataarifu kuwa hivi karibuni nilipata ajali ambayo ilinipelekea kuvunjika kwa mfupa uliopo baina ya shingo. na bega hivyo natarajia kufanyiwa UPASUAJI SIKU YA J5 Tar.19/2/2014.
                           MAOMBI YENU YANAHITAJIKA SANA KATIKA HILI 
ABDILAHI O.JUMA

1 comment:

  1. MUNGU ATAKUSIMAIA USIOFU TUNAKUWEKA KATIKA MAOMBI KAKA

    ReplyDelete