January 14, 2014

WANAFUNZI IST WATEMBELEA KITUO CHA YATIMA GUARDIAN ANGEL

Kituo cha watoto Guardian Angels wiki hii kilipata ugeni umkubwa kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) ya jijini Dar es Salaam ambao waliwatembelea na kutoa salamu za Mwaka mpya kwa watoto.

Aidha pamoja na mambo mengine wanafunzi hao walishiriki katika michezo mbalimbali na watoto wa kituo hicho kilichopo Mbezi Temboni.

 Kwa upande wao watoto wa kituo hicho pamojan an uongozi wa Guardian Angles walishukuru sana ugeni huo na kuomba wale wote wenye nia na moyo kama huo kuwatembelea Mbezi Temboni ,mawasiliano yao yote yapo humu www.angelstz.org

No comments:

Post a Comment