January 31, 2014

SHUKURANI

Nawashukuru! Ndugu, jamaa na marafiki, wazee kwa vijana. Viongozi pamoja na Serikali, kwa hali na mali, sala na ujumbe zilizotufariji mno wakati wa msiba wa Mzee George Bakari Liundi. Ahsanteni sana. Baba amepumzika sasa. Taji, Lulu na Beauty tunasema "Ahsanteni sana". Mwenyezi Mungu katwaa chake.

No comments:

Post a Comment