Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo wakati wa
kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt William Mgimwa viwanja vya
Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014
Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao mwisho kwa mwili wa marehemu Dkt William Mgimwa viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu na familia yake
wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt William Mgimwa
viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014.
Viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa wamebeba sanduku lenye mwili wa marehemu Dkt William Mgimwa kwenye viwanja
vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014 tayari kwa
kusafirishwa kuelekea mkoani Iringa ambako ndiko mazishi yake
yatafanyika.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment