January 15, 2014

POLISI ANAPOVUNJA SHERIA YA USALAMA BARABARANI

Polisi ndiuo wasimamizi wakuu wa sheria za nchi, na ni wao ambao pindi mwananchi anapokosea jambo na kuonekana amevunja sheria husimamia zoezi la kukamatwa na kufikishwa mbele ya Mahakama ili sheria itafsiriwe na adhabu kutolewa kwa mtenda kosa. Pichani ni Polisi wa jijini Dar es Salaa akiendesha Pikipiki PT 2462 akiwa amempakia mtoto katika pikipiki yake akimpeleka shule huku mtoto huyo akiwa hana kofia ngumu kichwani ilhali ameifunga nyuma kama inavyonekana pichani.

No comments:

Post a Comment