Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kutoka kwa mafundi
wanaokarabati Ukumbi wa Bunge la Katiba mjini Dodoma leo wanati akikagua
kazi ya uwekaji viti vipya katika ukumbi wa huo ikiwa ni maandalizi ya
Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa ameketi kitini wakati akikagua marekebisho
yanayofanyika katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18, 2013 ikiwa
ni maandalizi ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.
No comments:
Post a Comment