Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza akijichukulia maakuli wakati wa sherehe za mwaka mpya siku ya Jumatano huko VOA Washington Dc.Heather akijipakulia msosi.
Intern wa VOA na mmiliki wa Bongovibez Bi.Mariam akiwa kwenye mkao wa kung'aa.
Fatou Kalala prodyuza akifurahia kilaji chake.
Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
No comments:
Post a Comment