Katibu Mkuu wa Chanma cha Demokrasia na Maendeleo
Chadema, Dr. Wibroad Slaa na Mwenyekiti
wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa viongozi
wa kitaifa wa vyama vya siasa nchini na tume ya Taifa ya Uchaguzi uliofanyika
Dar es Salaam jana.
Katibu Mkuu wa Chanma cha Demokrasia na Maendeleo
Chadema, Dr. Wibroad Slaa (kushoto)
akiteta jambo na viongozi wa CUF,
Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba (katikati) na Naibu Katibu Mkuu, Julius
Mtatiro kuhusiana na masuala ya vyama vyao walipokutana Dar es Salaam jana
wakati wa mkutano wa viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa nchini na tume ya
Taifa ya Uchaguzi uliofanyika.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji
Mstaafu Damian Libuva akizungumza na viongozi wa kitaifa wa vyama vya upinzani
nchini wakati wa mkutano baina ya NEC na vyama hivyo Dar es Salaam jana. Kulia
ni Kamishna wa NEC, Prof. Amon Chaligha na Makamu Mwenyekiti Jaji Hamid Mahmoud
Hamid.
No comments:
Post a Comment