Jenela
la aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Habari Leo, Mkoani
Manyara, Fortunata Ringo Tayari kwa safari yake ya mwili, katika Maziko
yaliyofanyika Leo, Kijijini kwao, katika Kijiji cha Mdawi, Kata ya
Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Wazazi
wa Marehemu, Fortunata Ringo, ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Gazeti la
Habari Leo, Mkoani Manyara,wakifuatilia Ibada ya Maziko ya Mwandishi
huyo, ibada iliyofanyika katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya
Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani
Kilimanjaro.
Baadhi
ya Ndugu Jamaa na Marafiki, wakiongozwa na Mwandishi wa Habari wa
Mwananchi, Joseph Lyimo (aliyevaa shati la kijivu), wakiwa wamebeba
Jeneza la Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la
Habari Leo Mkoani Manyara, Mwandishi huyo amezikwa leo, katika Kijiji
alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi, wilaya ya
Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Mwili
wa Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la Habari
Leo Mkoani Manyara, ukishushwa katika Kaburi lake tayari kwa Safari ya
Mwisho. Mwandishi huyo amezikwa leo,
katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi,
wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa Marehemu Fortunata Ringo, aliyekuwa Mwandishi wa Gazeti la
Habari Leo Mkoani Manyara, ukishushwa katika Kaburi lake tayari kwa
Safari ya Mwisho. Mwandishi huyo amezikwa leo,
katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi,
wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro
Baadhi ya Waombolezaji wakifukia Mwili wa Marehemu Fortunta Ringo, ambaye enzi za Uhai wake alikuwa ni Mwandishi wa Gazeti la
Habari Leo Mkoani Manyara, Mwandishi huyo amezikwa leo,
katika Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi,
wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.
Mwandishi
wa Habari wa Gazeti la Mwananchi Mkoani Manyara, Joseph Lyimo,
akishiriki kuweka shada la Maua katika Kaburi la aliyekuwa Mwandishi wa
Habari Leo, Mkoani Manyara, Fortunata Ringo, aliyezikwa Leo, katika
Kijiji alichozaliwa cha Mdawi, Kata ya Kimochi, Kata ya Kimochi,
wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro.(Picha na Taifa
Letu.com)
No comments:
Post a Comment