January 22, 2014

Lowassa amfariji Makamba

 
 Katibu mkuu mstaafu wa ccm mzee Yusuph Mkamba akimtambulisha dada zake Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole mzee Makamba kwa kufiwa an mama yake mzazi  huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe.
 Mh Lowassa  akimsikiliza Mh January Makamba huku mzee Makamba (kulia) akisikiliza

No comments:

Post a Comment