Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa(katikati)
akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirikisho la
waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam ofisini kwake.Lowassa alikutana
na viongozi hao kupanga utaratibu wa kufanya harambee ya kuchangia ya
saccos ya shirikisho hilo.Mwezi Disemba mwaka jana Mh Lowassa alikuwa
mgeni rasmi katika tamasha la bodaboda kwenye viwanja vya leaders jijini
dsm ambapo aliahidi kukutana na uongozi huo kwa ajili ya kuandaa
harambee ya kuwasaidia kumiliki pikipiki waendesha bodaboda wa dar es
salaam.
No comments:
Post a Comment