Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania
watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikononi.Leo asubuhi
bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda
mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua
watu watatu Hapohapo.
No comments:
Post a Comment