Gari linalotoa huduma za kibenki kwa kuwafikia walipo jijini Bujumbura. Kutokana
na mafanikio makubwa katika sekta za kibenki ,Benki ya kwanza kutoka
nchini Tanzania ya CRDB inajivunia mafanikio yake ya kua na tawi lake
nchini Burundi liitwalo Inyenyeri.
Mafanikio hayo yanatokana na uongozi
shupavu wa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,Dk Charles Kimei na Bodi nzima yaliyowezesha mafanikio hayo.
Kutokana
na hatua hiyo mipango ya kufungua matawi zaidi nchini Burundi katika
mikoa mbalimbali inafanyika baada ya usalama kuimarika kwa kiwango
kikubwa. |
No comments:
Post a Comment