December 19, 2013

MDAU GREYSON MWASE ALAMBA NONDO YA MASTAZ KATIKA CHUO KIKUU CHA LEEDS NCHINI UINGEREZA

Bw. Greyson  Mwase ambaye ni Afisa Mawasiliano katika  Wizara ya Nishati na Madini akiwa ameshikilia shahada  yake ( M. A. in Corporate  Communications and Public  Relations) mara baada ya kutunukiwa kwenye ukumbi maarufu wa mahafali ujulikanao kama Great Hall  uliopo katika chuo kikuu cha Leeds kilichopo nchini Uingereza.

Bw. Greyson Mwase akiwa pamoja na wahitimu wenzake  wanaowakilisha nchi za Nigeria, Ghana na Kenya.
Bw. Greyson Mwase kushoto akiwa na Mhadhiri Tony Byng ( katikati) na mhitimu mwenzake Bw. Sarun Srisophajaroenrat.

No comments:

Post a Comment