KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
December 31, 2013
LOWASA NA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana
na maaskofu wa kanisa Katoliki, wakati a Ibada ya jubilee ya miaka 50 ya
kanisa hilo mjini Arusha mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment