DUNIA HAROUN MZOBORA ambaye maisha
yake yamefikia ukomo usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla
shinikizo la damu. Ndugu na jamaa walijitahidi kuokoa maisha yake kwa
kumkimbiza Aga Khan na baadaye Muhimbili, ambako alifariki dunia muda
mfupi baada ya kuwasili. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Tabata Mawenzi na maziko yake mtaarifiwa kadri mambo yanavyokwenda. Hakika kila nafsi itaonja mauti.
No comments:
Post a Comment