Kifusi kilichowekwa na Kampuni ya ujenzi ya
Patty Interplan ya jijini Dar es Salaam inayojenga barabara ya Vingunguti hadi
Barakuda kimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wa barabara hiyo kuwa kimekuwa
kereo kutokana na kutosambazwa kwa muda mrefu na kusababisha foleni.
Kibao cha Mkandarasi wa uwanja huo.
No comments:
Post a Comment