November 28, 2013

EAC WAKUTANA NA WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA NCHI WANACHAMA

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Dr. Richard Sezibera akitoa hotuba  yake Wamiliki,Mameja na Wahariri wa vyombo ya habari nchini Uganda leo,EAC imekua ikiandaa mkutano  wa mwaka kwa wadau hao ili kuboresha mahusiano na kujenga uelewa wa juhudi za mtengamano wa Jumuiya.
Mkuu wa Mawasiliano wa EAC,Owora Richard Othieno
Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Dk. Richard Sezibera (kushoto)  akizungumza jambo na Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN, gabriel Nderumaki.
Mkuu wa Mawasiliano wa EAC(kushoto)akizungumza jambo na Kaimu Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Serikali ya Tanzania(TSN)Gabriel Nderumaki na Mhariri wa Shirika la utangazaji la Taifa(TBC)Jane Shirima.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Kajubi Mkajanga(kushoto)na Mwandishi Mkongwe wa habari nchini Tanzania,Ndimara Tegambwage
Wadau wa Maendeleo wakifatilia mada katika mkutano huo

Sehemu ya wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo kutoka nchi wanachama EAC.Sehemu ya wahariri na wakuu wa Vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria mkutano huo kutoka nchi wanachama EAC.

No comments:

Post a Comment