October 25, 2013

WASHINDI WA VIP WAWASILI DAR

 Baadhi ya washindi wa Serengeti Fiesta VIP katika pozi la pamoja mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya washindi wa Serengeti Fiesta VIP wakishuka kwenye gari maalum wakati wakiwasili Belinda Annex kwaajili ya chakula cha jioni leo jijini Dar es Salaam.
 Washindi wa Serengeti Fiesta VIP wakibadilishana mawazo mara baada ya kuwasili Belinda Annex leo jijini Dar es Salaam.
 Washindi wa Serengeti Fiesta VIP wakifurahia na kinywaji cha Serengeti Lager mara baada ya kuwasili Belinda Annex  jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment