October 28, 2013

MZIGO MPYA KUWASILI WIKI HII NDANI YA SEREEE CO, KINONDONI

 
 Viatu vizuri na imara vinapatikana.
 Mashati na fulana za kila namna zipo SEREEE Co.
WADAU mbalimbali mnakaribishwa SEREEE CO, Kinondoni, Dar es Salaam ambapo mzigo mpya unawasili wiki hii. Duka lipo barabara ya kinondoni  jirani na Soko la TX. Ndani ya SEREEE CO utakutana na huduma mbalimbali nzuri za kuvutia pamoja na mambo mazuri kibao kama vile MEN'S WEAR SHOP, DECORATION SERVICES, CAKE SHOP, EVENT ORGANIZING, BEAUTY SALON, CATERING SERVICES, KIDS GAME & MANY MORE!!!

No comments:

Post a Comment