October 31, 2013

MARIA STOP TANZANIA YAMPA CHETI CHA UTAMBUZI BALOZI WAKE

Redds Miss Tanzania 2013 Top Model Narieta Boniface ambaye pia ni Balozi wa Marie Stopes Tanzania 2013 wakati akikabidhiwa cheti maalum na Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania madame, Uller Muller katika ofisi zao leo hii, ikiwa ni ishara ya kukaribishwa rasmi katika Taasisi hiyo ambayo mrembo huyo atakuwa akifanya kazi za kuhamasisha vijana hususan wasichana kujikinga na mimba zisizotarajiwa kwa kutumia njia za uzazi wa mpango.  Mrembo Narieta Boniface pia ni Miss Chang'ombe 2013 na Miss Temeke mshindi wa 3.

No comments:

Post a Comment