KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
May 28, 2013
REDD'S MISS TANGA WAJINOA
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga wakiwa katika mazoezi ya
kujiandaa na shindano la mkusaka malkia wa Miss Tanga, litakalofanyika
Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini humo. Mazoezi yanafanyika katika ukumbi wa Lavida.
No comments:
Post a Comment