May 01, 2013

REDD'S MISS KIBAHA WAENDELEA KUJIFUA

Mkufunzi wa Warembo wa Miss Kibaha Rehema Uzuwiya akizungumza na warembo hawo wakati wa mazoezi yao yanayo endelea katika ukumbi wa Vijana Kinondoni 
Warembo wa miss kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao
Warembo watakao wania taji la Miss Kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa vijana Kinondoni Dar es salaam. Picha na www.burudan.blogspot.com

1 comment:

  1. MaprosooMay 02, 2013

    Kaka

    Hawa Bomba kuliko hata wale walioko LAMADA kwenye Bulogi ya Michuzi kule.

    Dah! Nitakuja huko Kibaha wangu

    ReplyDelete