May 02, 2013

NSSF YANOGESHA TAMASHA LA MICHEZO LA MEI MOSI

Mshambuliaji wa timu ya DHL, Regan Kimaro akimtoka beki wa timu ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Gasper Tumbeza (kulia) katika mchezo wa tamasha la michezo la Mei Mosi kwa Makampuni lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. 
 Mshambuliaji wa timu ya NSSF, akiwa katika harakati za kufunga wakati wa tamasha la michezo la Mei Mosi kwa Makampuni.
Kikosi kamili cha timu ya NSSF kilichoshiriki tamasha la michezo la Mei Mosi kwa Makampuni na kufanyika katika viwanja vya Leaders Club jijijni Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment