May 29, 2013

BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) LAENDELEA MJINI KAMPALA UGANDA

Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri la Mambo ya Afrika Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii, kutoka Kenya, Mhe Phyllis C. Kandie akila kiapo jana mchana kama ofisa maalum katika Bbunge la Afrika Mashariki (EALA) katika Mkutano wa 6 wa Kikao cha 1 cha Baraza 3 ulianzia mjini Kampala, Uganda jana.
Kiapo hicho cha utii kwa Bunge hilo kilifanyika ulitekelezwa katika Bunge mbele ya Spika EALA,  Margaret Nantongo Zziwa.
Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri la Mambo ya Afrika Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii, kutoka Kenya, Mhe Phyllis C. Kandie akila kiapo jana.
Kikao cha Bunge kikiendelea
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Shy-Rose Banji akichangia hoja katika Kikao hicho cha Bunge mjini Uganda jana.

No comments:

Post a Comment