Balozi
wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan akionja bia ya Guinness
inayozalishwa kiwandani hapo(kulia) akiwa pamoja na katibu wake Nicholas
Michael(katikati) na mwenyeji wake Meneja wa Kiwanda cha bia cha
Serengeti Moshi Colman Hannah(kushoto).
Meneja
wa kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah akitoa maelezo
mafupi kwa wana habari juu ya ugeni kiwandani hapo kulia kwake ni Balozi
wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan na kushoto kwake ni Msambazaji
mkuu wa bidhaa za Kampuni ya Bia ya Serengeti mkoani Kilimanjaro
Balozi
wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan kushoto akiwa na mwenyeji wake
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah akitembelea
kiwanda hicho mwishoni mwa wiki hii.
Matembezi kidogo...
Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan akipata maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa maabara ya kiwanda hicho Jemima Mwambungu.
Mpishi
mkuu wa bia za Kampuni ya Bia ya Serengeti Moshi Julius Nyaki akitoa
maelekezo kuhusu upikaji wa bia ya Guinness kwa Balozi
Mazungumzo ya hapa na pale pia yalikuwepo.
No comments:
Post a Comment