Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superdoll, Wawakilishi wa mauzoya matairi aina ya Michelin Tanzania, Seif Seif akiwapiga msasa mawakala wa uuzaji wa matairi hayo nchini, katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es Salaam hivi karibuni.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Baadhi ya mawakala wa kampuni hiyo wakisikiliza kwa makini kuhusu maboresho hayo
Mkurugenzi Mtendaji wa Superdoll, Seif Seif (kulia0 akisikiliza kwa makini wakati mtaalamu wa mauzo ya tairi za Michellin akielezea katika mkutano huo.
Baadhi ya maofisa mauzo wa Michellin na mawakala wa tairi hizo wakipiga picha na MZEE MICHELLIN (katikati).
Mkurugenzi wa kampuni ya Jubilee Tyre 2002 LTD, mawaka wa uuzaji wa matairi ya Michellin, Kuldip Grewal akichangia mada juu ya uboreshaji wa mauzo hayo.
Mawakala wakiwa makini kusikiliza mada hiyo
SASA NI WAKATI WA MSOSI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superdoll,Wawakilishi wa Mauzo ya Matairi aina ya Michelin Tanzania, Seif Seif (kulia) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya Bethel Auto Spares Co.ya Moshi, Janeth Shirima baada ya kuwa moja ya kampuni zilizoongoza kwa kuboresha mauzo ya bidhaa hiyo katika mkutano uliowashirikisha mawakala wa uuzaji wa matairi hayo nchini, uliofanyika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki..
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superdoll,Wawakilishi wa Mauzo ya Matairi aina ya Michelin Tanzania, Seif Seif (kulia) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya African Wheels & Tyres Limited ya Mwanza, Vincent Hariah baada ya kuwa moja ya kampuni zilizoongoza kwa kuboresha mauzo ya bidhaa hiyo katika mkutano uliowashirikisha mawakala wa uuzaji wa matairi hayo nchini, uliofanyika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki..
Mkurugenzi Mtendaji wa Supperdoll, Seif akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo hizo.
Seif Seif akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo hizo
Mawakala wa uuzaji wa matairi ya Michelin na maofisa wa kampuni ya Superdoll wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Seif Seif.
Baadhi ya mawakala wa uuzaji wa matairi aina ya Michellin na maofisa wa kampuni ya Superdoll, wakiwa katika mkutano huo wa kupigana msasa juu ya kuboresha mauzo ya bidhaa hiyo.
Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Superdoll wawakilishi wa mauzo ya matairi ya Michellin Tanzania, Ibrahim Juma akiwakaribisha mawakala wa bidhaa hiyo nchini, katika mkutano huo.Baadhi ya mawakala wa kampuni hiyo wakisikiliza kwa makini kuhusu maboresho hayo
Mkurugenzi Mtendaji wa Superdoll, Seif Seif (kulia0 akisikiliza kwa makini wakati mtaalamu wa mauzo ya tairi za Michellin akielezea katika mkutano huo.
Baadhi ya maofisa mauzo wa Michellin na mawakala wa tairi hizo wakipiga picha na MZEE MICHELLIN (katikati).
Mkurugenzi wa kampuni ya Jubilee Tyre 2002 LTD, mawaka wa uuzaji wa matairi ya Michellin, Kuldip Grewal akichangia mada juu ya uboreshaji wa mauzo hayo.
Mawakala wakiwa makini kusikiliza mada hiyo
SASA NI WAKATI WA MSOSI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superdoll,Wawakilishi wa Mauzo ya Matairi aina ya Michelin Tanzania, Seif Seif (kulia) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya Bethel Auto Spares Co.ya Moshi, Janeth Shirima baada ya kuwa moja ya kampuni zilizoongoza kwa kuboresha mauzo ya bidhaa hiyo katika mkutano uliowashirikisha mawakala wa uuzaji wa matairi hayo nchini, uliofanyika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki..
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superdoll,Wawakilishi wa Mauzo ya Matairi aina ya Michelin Tanzania, Seif Seif (kulia) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya African Wheels & Tyres Limited ya Mwanza, Vincent Hariah baada ya kuwa moja ya kampuni zilizoongoza kwa kuboresha mauzo ya bidhaa hiyo katika mkutano uliowashirikisha mawakala wa uuzaji wa matairi hayo nchini, uliofanyika Makao Makuu ya kampuni hiyo, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki..
Mkurugenzi Mtendaji wa Supperdoll, Seif akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo hizo.
Seif Seif akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo hizo
Mawakala wa uuzaji wa matairi ya Michelin na maofisa wa kampuni ya Superdoll wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Seif Seif.
No comments:
Post a Comment