Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na
Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi.
No comments:
Post a Comment