April 05, 2013

JESCA MSENGI ALIVYO MEREMETA KATIKA SEND OFF YAKE



Aprili 3, 2013 ilikuwa ni siku ya furaha sana kwa Bi. Jesca Msengi, pale alipoandaliwa tafrija maalum ya aina yake na familia yake kwaajili ya kumpongeza kwa maamuzi ya Busara ya kuamua kwenda kuanza maisha mapya ya Ndoa baada ya kumpata kijana aliyefafanae na kuamua kuambatana nae katika maisha ya Ndoa.

Jesca aliagana na familia yake katika tafrija hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa New Msasani Beach Club ulipo Kawe jijini Dar es Salaam.

MD Digital Company ilipewa jukumu la kuchukua kumbukumbu za tukio hilo la kipekee na la kihistoria kwa Jesca na familia ya Msengi kwa ujumla.


 Biharusi Mtarajiwa Jesca Msengi akiwa na msimamizi wake wakati wa tafrija hiyo.
 Wafanyakazi wenzake na Jesca walifika kutoka Arusha kumpongeza
 Jesca alikata keki kuashiria kukubaliana na maamuzi yake.
 Mama alipongezwa...
 Mvinyo ulinywekwa kumtakia heri Jesca katika maisha yake mapya.
 Picha mbalimbali zilipigwa katika zulia jekundu (Read carpet) lililokuwa na picha kubwa ya Biharusi mtarajiwa Jesca. Ndugu jamaa na marifiki walipiga picha za kumbukumbu.
 Kwaito bado ndio mziki unaopendwa zaidi na vijana katika tafrija na sherehe mbalimbali. Jesca akifurahia tafrija yake kwa kucheza kwaito na marafiki.
 Wageni mbalimbali, ndugu na jamaa walikuwepo ukumbini hapo.
 Maharusi watarajiwa wakionjeshana chakula ...
 Bi Jesca nae aliweka mapozi katika zulia jekundu...
 Hii ilipendeza haswa na MD Digital Company walidhihirisha kweli wao ni Dijitali katika huduma.
 Jesca akiwa na mtarajiwa mumewe katika zulia Jekundu...
 Bwana harusi mtarajiwa akivishwa saa iliyotolewa zawadi na Jesca kwa Kipenzi chake
 Hapo Je!! Jesca aliuliza kuna mwenye neno...
Watarajiwa wakiwa na wapambe wao.
 zulia jekundu liliwavutia kila mtu Mama Mdimu nae alipiga swaga zake.
 Walipendeza sana
 Swaga za picha hizo ...
 Jesca Msengi na mdogo wake ...
MD Digital Company wanapatikana Ukonga Mombasa- Mazizini +255 755 373999 au +255 717 002303 Dar es Salaam Tanzania. kwa huduma za Video na Picha Mnato katika Tafrija mbalimbali usisite kuwasiliana naso.

1 comment:

  1. nice picture.Hongera jesca Mungu aitete ndoa yako-BIG up MD DIGITAL CO. kazi nzuri.

    ReplyDelete